
Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Thiery Henry ametawazwa kuwa mfalme wa soka Nigeria na kupewa jina la Igwe wa Soka. Mchezaji huyo amepewa hadhi ya kuwa mfalme wa soka Nigeria ikiwa ni alama kwa soka la Nigeria na Afrika.
Get News, Music, Video and Software......




0 comments:
Post a Comment