Muigizaji Wastara ambaye yupo katika Hospitali ya Saifee (Mumbai ) Nchini India anaendelea vizuri na siku hiyo ya jana alitembelewa hospitalini na...
Muigizaji wa Bongomovie REGINA KAOLE ambaye yupo Mumbai nchini India kwa shughuli zake za kikazi.
Wanatasnia na wadau wa filam nchini wanaombwa kuzidi kumuombea Muigizaji huyo Wastara ili apone Haraka na kurejea nchini salama.
0 comments:
Post a Comment