Pages

Subscribe:

Saturday, February 10, 2018

WITNES AOMBWA USHWA YA NGONO ILI NYIMBO ZAKE ZICHEZWE


Msanii wa muziki, Witnes aka Kibonge Mwepesi amefunguka kwa kudai kwamba kuna baadhi ya wadau wa media wamemuomba rushwa na ngono ili wacheze ngoma zake.

Rapper huyo wa kike amedai kwa sasa ngoma zake hazichezwi kwenye kituo hicho cha redio kwa madai alitakiwa kutoa rushwa ya ngono.
Witnes ameanda ujumbe huu…


Hivi ku*anyoko zenu, hivi mnadhani k*m* yangu ni kifuu cha nazi kwamba kila anayetaka nimpe akune kisha tui aungie chakula anachotaka? Kwa taarifa yenu nimeshtukia siku nyingi mno, na ninajua huwa mnakaa mkinizungumzia na kuwekeana madau ya nani atanivunja na hamnipati,kiasi mmeamua kutopiga ngoma zangu bila sababu na ni muda sana mpaka yamenifika kooni nimewachoka na nimeamua kuvunja ukimya so kama mtapiga ngoma zangu kwa kuwa ninakipaji ninashukuru na wale mnaozipiga ninawashukuru na msiposikia ngoma zangu zinapigwa kwenye vituo flani basi mjue rasmi sababu ni sehemu zangu za siri na sizitoi ng’o kisa redio au mtu wa redio au tv azipige, jamani nitawapa watu wa redio wangapi na wa tv wangapi? Na tuna maredio mangapi? Mapresenter na madj wangapi? Hivi nikiwapa hawa wote k yangu si itabaki kama kasha la kiberiti lililoshiwa njiti? Mbali na hapo wote waliolala na ninyi na mkawatangazia kuwafanyia promo wapo wapi? Na wamepata faida gani Zaidi ya fedheha? na zaidi ya kuwa avoid na kuwaona ma malaya tu, mliopiga piga mwisho mkawatelekeza? Na leo hii wanashindwa kulalamika coz mmejikusanya kuwasema kwenye vikao vyenu vya pombe full kuwasema vibaya na kuwaponda, mkipewa k*m* shida msipopewa tatizo basi mimi ndo sitoi kama kipaji changu alinipa mwenyez mungu na kipo vizuri na kina level nzuri kinatambulika hadi kwenye nyanja za kimataifa who are you to want to sleep with mesimply because of the gift given to me by almighty god msipozigonga ngoma zangu mashabiki zangu watazionea youtube #witneszkibongemwepec na hata wakiwa mashabiki wawili roho yangu inasuuzika mno coz wawili siku moja watakuwa milioni mbili, na ninaahidi ya kwamba mimi sikati tamaa na nitafanya vizuri tu in one way or another, ila si kwa kugawa uchi wangu hili ni #TANGAZO msipige ngoma zangu hivyo hivyo sijali ila mkitaka kucheza na uchi wangu ninajali its sacred and not a toilet sit!

Mnanitengenezea mazingira magumu but I wont give in mtasubiri sana, coz mlango mmoja ukifunga mingine saba hufunguka Ameeen!

0 comments:

Post a Comment