Pages

Subscribe:

Thursday, June 11, 2015

VIDEO MPYA YA DIAMOND YAFIKISHA VIEWS MILLION NDANI YA SIKU 12

Diamond Platnumz anazidi kuthibitisha nguvu aliyonayo. Ni siku 12 tu tangu aachie video ya wimbo wake ‘Nana’ aliomshirikisha Flavour, lakini tayari imepata views zaidi ya milioni kwenye Youtube. Hadi Jumatano hii, Nana imefikisha views 1,013,350 (views zinaongezeka kwa kasi)... - “One million Plus Views on Youtube! In just 10 days…kwakweli nawashkuru sana kwa Mapenzi yenu emoji.. OyA! #Sankoro Kama Ronaldo,” ameandika Diamond kwenye Instagram kusherehekea mafanikio hayo.

0 comments:

Post a Comment