
Msanii Wiz Khalifa na Izabela Guedes hawako tena pamoja baada ya kufuta wawili hao kufuta picha zote walizopostiana kwenye mitandao ya kijamii na inasemekana kwamba Khalifa amekuwa akitembea na mwanamke mwingine ukiacha na Izabela.
Wiz Khalifa na Izabela Guedes ambao walianza kuwa pamoja mwaka 2016.
Sources ambazo zipo karibu na wawili hao zimewaambia MediaTakeOut.com kwamba Isabela ameachana na Wiz kwa sababu yeye bado anahisi Wiz anatoka na...
Ex wake wa zamani.

Watu wengi wanashaka kwamba Ex huyo akawa ni Amber Rose.
0 comments:
Post a Comment