Abdukiba akipiga stori na www.eatv.tv amesema kuwa wimbo huo yeye hajamuimbia Tunda kama ambavyo watu wanadai au wanahisi bali ni hisia tu na aliuandika wimbo huo kupitia...
mambo mbalimbali ambayo hata yeye aliyapitia na kuamini kuwa watu wengine wameyapitia ila hakumuandikia mrembo Tunda kama watu wasemavyo.
0 comments:
Post a Comment