
Kupitia Instagram Jux amepost kipande cha video na kuandika caption iliyo someka:
Asanteni sana burundi sitaweza kuja kusahau upendo wenu kwenye Maisha yangu japo Mvua kubwa kunyesha bado mkakubali mnyeshewe nakuja kwa wingi sana kwenye show. We made a history nashukuru kwa heshima yenu ya kuniimbia wimbo wa...
taifa 🙌🏾🙌🏾 kama heshima yenu kwangu na hii aijawahi kutokea kwa Msanii yoyote yani yoyote aliyeshawahi kuja burundi Asanteni sana sana #love #burundi #history #music #power #africanboyworldwide
0 comments:
Post a Comment