Pages

Subscribe:

Sunday, October 29, 2017

BARAKAH THE PRINCE: KUACHANA NA ROCKSTAR4000 KUMENIPA CHANGAMOTO


S O M E T I M E S kaa karibu na bio yangu soon nakupa link ya kuweza kujipakulia...
@banamusiclab

Baraka The Prince ambaye sasa anajisimamia kupitia 'label' yake BANA MUSIC amekiri alipoachana na kampuni iliyokuwa inasimamia kazi zake ya Rockstar4000 kumempa changamoto kubwa kwani saizi kila kitu yeye ndiyo inabidi apambane tofauti na mwanzo.
Baraka The Prince amesema hata ukimya wake katika muziki kwa kipindi fulani ni kutokana na ukweli kwamba alikuwa anakutana na...

changamoto pamoja na kujipanga ili kuweza kurudi vizuri.

0 comments:

Post a Comment