Pages

Subscribe:

Tuesday, October 24, 2017

GUCCI MANE AFUNGA NDOA BILA KUMUALIKA MAMA YAKE MZAZI


Licha ya kufanya Harusi ambayo iligharimu ma milioni ya Dola pamoja na Keki yenye ujazo wa hali ya juu, Rapper Gucci Mane bhana hakumualika Mama yake kwenye Harusi hiyo, sio mama peke yake ila hadi mdogo wake.

Akiongea na Mtandao wa Tmz, Mdogo wake Gucci Mane, Nate alifunguka kushangaa kuona Kaka yake amewatosa yeye pamoja na Mama yake kwenye harusi bila ya...
sababu yeyote ile, Lakini licha ya kutopata Mualiko huo, Nate bado alimpongeza Kaka kwa kufanikisha hatua moja kubwa ya Maisha ya ndoa.

Image result for gucci mane wedding 

Related image


Image result for gucci mane MOTHER

Image result for gucci mane SISTER NATE

0 comments:

Post a Comment