Pages

Subscribe:

Saturday, October 21, 2017

POST MALONE AVUNJA UTAWALA WA CARDI B KWENYE CHAT ZA BILLBOARD



Baada ya kuongoza taribani wiki mbili mfululizo katika chati za nguli za muziki duniani za Billboard Hot100, mwanadada Cardi B ameshushwa katika chati hizo na Post Malone. 

Kwa mujibu wa chati hizo Cardi B, aliyeweza kuwakilisha vizuri muziki wa Hip Hop kupitia ngoma ya ‘Bodak Yellow’ ameshushwa na kijana huyo kupitia ngoma ya...
‘Rockstar’ aliyomshirikisha rapper 21 Savage.

Namba moja katika chati hiyo inakamatiwa na Post Malone Featuring 21 Savage ‘Rockstar’,ikifuatiwa na Cardi B ‘Bodak Yellow’ na wakati namba tatu ikishikiriwa na Logic Featuring Alessia Cara & Khalid ‘1-800-273-8255’ na wakati namba nne ikikamatiwa na ngoma ya ‘Look What You Made Me Do’ ya mwanadada Taylor Swift, mtu mzima Portugal. 


The Man akikamata namba tano katika chati hizo kupitia ‘Feel It Still’

0 comments:

Post a Comment