Pages

Subscribe:

Tuesday, October 31, 2017

BAADA YA UWOYA KUOLEWA NDIKUMANA AJIBU MAPIGO KWA VITENDO


Mume Halali wa Uwoya Mzee baba Ndikumana apata wa kumpoza moyo wake Kabla hajatoa Talaka kwa Uwoya

Aliyekuwa mume halali wa muigizaji wa filamu bongo Irene Uwoya, mcheza soka kutoka nchini Burundi Hamad Ndikumana, ameonyesha kujibu mapigo baada ya mwenza wake kuonekana kuolewa, kwa kupost picha akiwa na mwanamke mwengine. 
Kwenye ukurasa wake wa instagram Ndikumana amepost picha hizo, huku akiandika ujumbe kama ambao unaonekana ni kurusha vijembe kwa mwenza wake huyo, ambaye...
hivi karibuni alimuandikia waraka kuanika yale aliyokuwa akithubutu kuyafanya, na kusema yuko tayari kutoa talaka.

Wawili hao walitfunga ndoa takatifu katika kanisa la Mtakatifu Joseph la Jijini Dar es salaam, na kutengana baada ya muda mfupi wa ndoa yao, huku kukiwa na tetesi kuwa hakuna maelewano baina yao.

Tazama picha alizo zipost

0 comments:

Post a Comment