Pages

Subscribe:

Sunday, October 29, 2017

VIDEO: JOKATE ATOA AHADI YA KUJENGA UZIO SHULE YA SEKONDARI


Shule ya Sekondari Mugabe. 💖💞💖

Jokate alitembelea shule ya Sekondari Mugabe akiwa kama mgeni rasmi katika maafari ya kidato cha nne na kuweza kukutana na changamoto mbali mbali za shule hiyo na mwisho aliahdi kutoa mifuko kadhaa ya Cement ili kujenga uzio wa shule hiyo.

Kupitia Ukurasa wake wa Insta Jokate ameandika:
Nilitembelea Shule Ya Sekondari Mugabe iliyoko Sinza A, Wilaya ya Ubungo Kama Mgeni Rasmi wa Mahafali ya 9 ya Kidato Cha Nne na kuweza...
kujionea shughuli mbali mbali za kitaaluma na kuongea na wanafunzi, walimu na wazazi/walezi juu ya changamoto mbalimbali wanazokutana nazo katika utekelezaji wa majukumu yao.

Tazama video hapa chini. 

0 comments:

Post a Comment