Pages

Subscribe:

Saturday, October 28, 2017

DIAMOND AWA MSANII WA KWANZA AFRIKA KUSAINIWA NA UNIVERSAL MUSIC GROUP


Today have become the first African Artist Signed under Universal Music Group to get 6x Platinum Sales on My Single #MarryYou ft @Neyo..... on behalf of my team & @Neyo would like to thank all the fans & Media Around the world  #MarryYouDN #MaryYou #AboyFromTandale (Leo nimekuwa msanii wa kwanza wa kiafrika alosainiwa Universal Music Group kufikisha Mauzo ya nyimbo yake Platinum Mara sita Mfululizo kupitia nyimbo ya #MarryYou nilomshirikisha @Neyo.... kwa niaba ya Team yangu na @neyo tungependa kuwashukuru Mashabiki na Media zote Ulimwenguni...🙏)
Kila kukicha Diamond huwa anazungumzwa kwa mambo tofauti. Sasa good news kwa Diamond na kwa Tanzania pia ni kwamba wimbo Marry You wa Diamond akiwa amemshirikisha staa wa rnb kutoka USA Ne-Yo Umeonekana kuwa na mafanikio kwa kufikisha mauzo ya Platinum mara sita mfurulizo.
 
Mauzo hayo yamepelekea Diamond Platinumz kuwa msanii wa kwanza kutoka barani afrika kusainiwa na  Universal Music Group, Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond amepost picha hiyo hapo juu na kuandika ujumbe huu...diamondplatnumz : Today have become the first African Artist Signed under Universal Music Group to get 6x Platinum Sales on My Single #MarryYou ft @Neyo..... on behalf of my team & @Neyo would like to thank all the fans & Media Around the world #MarryYouDN #MaryYou #AboyFromTandale (Leo nimekuwa msanii wa kwanza wa kiafrika alosainiwa Universal Music Group kufikisha Mauzo ya nyimbo yake Platinum Mara sita Mfululizo kupitia nyimbo ya #MarryYou nilomshirikisha @Neyo.... kwa niaba ya Team yangu na @neyo tungependa kuwashukuru Mashabiki na Media zote Ulimwenguni...🙏)
 
Congrats babe @diamondplatnumz for becoming the first African Artist signed under Universal to hit Six times platinum sales on your #MarryYou ft @Neyo Record! Am super Proud!
Baada ya hayo mama watoto wake pia Zari the boss hakuwa mbali alimpongeza mume wake huyo kwa kupost picha hii hapa juu na kuandika maneno yaliyo someka..  
 
Congrats babe @diamondplatnumz for becoming the first African Artist signed under Universal to hit Six times platinum sales on your #MarryYou ft @Neyo Record! Am super Proud!

0 comments:

Post a Comment