Pages

Subscribe:

Friday, October 27, 2017

HIZI NDIYO SABABU ZA ROSA REE KUACHANA NA THE INDUSTRY


Siku ya Jumatano alipokuwa akitambulisha ngoma yake mpya ''DOW'' Rapper Rosa Ree alifunguka  kuondoka rasmi katika label ya The Industry.
 
Rapper huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Dow’ alisema mkataba wake na label hiyo ulimalizika na hakuongeza...
tena, hivyo hivi sasa anaendelea na watu waliokuwa akifanya nao kazi toka awali.

0 comments:

Post a Comment