Pages

Subscribe:

Thursday, October 26, 2017

G NAKO: MAMBO YA TEAM YAKAE MBALI MUZIKI MZURI NDIO UONGEE


ENERGY!! ENERGY!! ⛽️⛽️🔋🔋LINK KWENYE BIO!!!
Msanii wa kundi la Weusi, G Nako ameelezea mafanikio ya cover ya ngoma Seduce Me ya Alikiba aliyofanya.


G Nako ambaye kwa sasa anatamba na ngoma ‘Energy’ amekiambia kipindi cha Clouds E kuwa mapokezi ya ngoma hiyo yamekuwa makubwa lakini mambo ya u-team katika muziki...
hayataki.

“Kwanza kabisa sitaki masuala ya ma-team, kuna vitu kidogo yanakuwa yanatuwekea mipaka, mambo ya team yakae mbali halafu muziki mzuri ndio uongee lakini so far mapokezi ni makubwa” amesema G Nako.

G Nako anaungana na producer Man Water na wasanii wengine mbali mbali ambao wamefanya cover ya ngoma hiyo.

0 comments:

Post a Comment