Pages

Subscribe:

Friday, October 20, 2017

DJ MAPHORISA AINGIA KUTENGENEZA KITU KIPYA NA JIDENNA


Image result for jidenna
Baada ya kushirikiana na Major Lazer katika kuitengeneza ngoma ya #particular , producer kutoka Afrika kusini #djmaphorisa inaonekana kama anaingia jikoni kuipika ngoma nyingine akiwa na mzee wa Classic Man,Jidenna.

Taarifa hiyi imekuja baada ya Jidenna kutumia ukurasa wa Instagram kutoa taarifa ambayo imeonekana kama kuna mzigo mpya unakuja kati yao, ikumbukwe kwamba Dj maphorisa ni moja kati ya...
wasanii ambao wanaheshimika nchini Afrika kusini hii ni baada ya kuwa na uwezo wa kufanya ngoma kali ambazo zinafanya vizuri nchini kwao na Afrika kwa ujumla.
So kama wewe ni shabiki wa Dj Maphorisa na unakumbuka lile vibe ya ngoma ya particular unadhani wakikutana na mzee wa classic men hiyo ngoma itakuwaje?

0 comments:

Post a Comment