Pages

Subscribe:

Tuesday, October 24, 2017

T.I NDIYE MWANZILISHI WA TRAP MUSIC MWENYEWE AFUNGUKA HAYA


Image result for TI
Mnyama mkali T.I ameamua kuzichukua Headline baada ya kudai kwamba yeye ndio mwanzilishi wa aina ya muziki wa Trap.

Ni muda mrefu T.I amekuwa akifunguka kuhusu ishu hii ya kuwa yeye ndio mwanzilishi wa mdundo ya aina hii, Sasa kupitia Interview yake aliyoifanya na Power 105.1, T.I aliamua...

kuwekea msisitizo kuhusu ishu hiyo.

Katika Mahojiano yake T.I anasema “A lot of people really really don’t know that I created trap music,” said T.I., adding, “there was no such thing as trap music prior to [T.I.], it didn’t exist.”

0 comments:

Post a Comment