Pages

Subscribe:

Monday, October 30, 2017

LAMAR: PRODUCERS WA BONGO NDIYO TUNAREKODIA NYIMBO GHARAMA NDOGO AFRIKA

Producer wa muziki kutoka studio za Fish Crab, Lamar amesema producer wa Bongo wanatoza gharama za chini zaidi katika kurekodi ukilinganisha na nchini nyingine Afrika. Kutokana na hilo Lamar ameshauri kuwa ni vema kwa wasanii kutoa sapoti kwa producer wa Bongo na si vinginevyo.

“Soko letu katika producers sisi ndio ambao tunatoza gharama za chini kimuziki Afrika, ukienda South Africa watu wanachajiwa mpaka...
dola 5,000 kurekodi lakini sisi gharama za juu sidhani hata kama inafika milioni mbili/tatu” Lamar ameiambia Bongo5.

“Kwa hiyo wasanii wanatakiwa wasapoti producer wao, unakuta msanii anaweza kwenda South Africa akalipia labda dola 3,000 kufanya wimbo lakini huku hataki kulipia hela hiyo au anataka bure” ameongeza.

0 comments:

Post a Comment