Pages

Subscribe:

Thursday, October 26, 2017

NICKI MINAJ ATAKA KUPEWA HESHIMA YAKE

Behind the scenes. After the shoot with the legendary Patrick 😍
Mwanadada kutoka record lebal ya Young Money nchini marekani Nicki Minaj awajia juu wasanii wanaoshindwa kumpa heshima yake toka aanze game ya muziki.

Nick ameonekana mwenye jazba sanaa kupitia mtandao wake wa twitter baada ya kutweet...
kama inavyoonekana hapo chini.
NICKI MINAJ @NICKIMINAJ
In any field, women must work TWICE as hard to even get HALF the respect her male counterparts get. When does this stOp?
Kama utakuwa ufaham Nicki Minaj ni msanii ambae amekuwa na mafanikio makubwa sanaa kwa upande wa akina dada wanaofanya mziki wa international pop ambapo anajivunia kuwa na Tuzo kibao ikiwemo tuzo 7 za BET na 4 kutoka America Music Awards, na unaambiwa mpaka sasa ameshauza albamu Million 4.

0 comments:

Post a Comment