Pages

Subscribe:

Friday, October 27, 2017

JADEN SMITH KUACHIA ALBUM ILIYO ANDALIWA MIAKA MITATU


Baada ya kumshuhudia kwa muda mrefu katika ulimwengu wa filamu na maswala ya Fashion, Jarden Smith, anatarajia kuachia Album yake mpya ya SYRE A BEAUTIFUL CONFUSION, Novemba 17 mwaka huu.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Jaden ameweka video ikionyesha kuwa Album hiyo inakuja very soon, Sasa moja ya kitu ambacho kimewashangaza wengi ni kuhusu...
maandalizi ya Album hiyo, Unaambiwa imetumia miaka 3 mpaka kufikia hii leo ambapo mwezi ujao inatarajiwa kutoka.

Image result for jaden smith 
Ujazo wa ngoma zilizomo humo najua zitakuwa ni tishio kutokana na kwamba zina ladha kama hizi ambazo tunaziona kwa msanii Future.

0 comments:

Post a Comment