Pages

Subscribe:

Friday, October 27, 2017

RATIBA YA CARABAO CUP ARSENAL KUMVAA WEST HAM


Arsenal itakutana na West Ham Robo Fainali ya Kombe la Carabao msimu wa 2017/2018 baada ya droo iliyopangwa jana.

Timu nyingine ya London, Chelsea itakuwa mwenyeji wa AFC Bournemouth, wakati mahasimu wa Jiji la Manchester watakuwa ugenini wote safari hii, Man City watakuwa wageni wa...

Leicester City na United watakuwa wageni wa Bristol City.

Mechi hizo zinatarajiwa kuchezwa Jumatatu ya Desemba 18, mwaka huu.

0 comments:

Post a Comment