Pages

Subscribe:

Friday, October 27, 2017

RIHANNA AKAVA KWENYE JARIDA LA VOGUE ARABIA



Mwanamuziki Rihanna amekava jarida la Vogue Arabia linalotarajiwa kutoka ifikapo Novemba mosi mwaka huu. Vogue Arabia ni jarida linalozungumzia masuala ya urembo, mitindo na utamaduni kutoka katika nchi zilizopo Mashariki ya kati ya Uarabuni.

Rihanna(29) ambaye pia amejikita katika masuala ya biashara atatokea katika jarida hilo akiwa amezungumzia...
mambo mbalimbali ikiwemo jinsi bidhaa yake ya urembo kutoka kampuni yake ya Fenty Beauty make-up line ilivyomuingizia dola milioni 72 kwa mwezi wa kwanza.

0 comments:

Post a Comment