Pages

Subscribe:

Wednesday, October 25, 2017

WANAWAKE WA CHRIS BROWN WAAMUA KUMALIZA TOFAUTI ZAO


Baada ya ugomvi wa muda mrefu mama mtoto wa Chris Brown Nia Guzman  na aliekuwa mpenzi wa msanii maarufu duniani Chris Brown Shakur Sozahdah hatimae lafikia tamati.

Kwa mujibu wa mtandao wa Tmz kutoka marekani wameripoti kuwa wawili hao Nia Guzman na Shakur Sozahdah baada ya kuripoti mahakamani tarehe waliopangiwa ndani ya mwezi huu kuamua...
wawili hao wamalize tofauti zao.


Huku chanzo cha ugomvi wao kikidaiwa kuwa Shakur Sozahdah alitoa kauli za kumtishia Nia Guzman na mtoto wake Royalty . Huku Shakur akimshutumu Nia kuwa yeye ndio alikuwa shahidi wakati wa ugomvi wake na Chris Brown.

0 comments:

Post a Comment