Pages

Subscribe:

Tuesday, October 31, 2017

IRENE UWOYA: BADO NALIA MACHOZI YA FURAHA KUOLEWA NA DOGO JANJA


Ahsanteni sana familia yangu kwa ushirikiano wenu the real queen of bongoflava is back the video is cumin soon #therealqueenisback @babutale @madeeali @kassimmganga @dogojanjatz
Irene Uwoya amethibitisha tetesi za kuwa amefunga ndoa na Dogo Janja. Ameandika kwenye Instagram kuwa ana furaha kubwa kuolewa na rapper huyo ambaye ni mwanaume wa ndoto yake.
 
Kabla ya hapo, Irene Uwoya alikuwa ameolewa na Hamad Ndikumana na... kujaaliwa kupata mtoto mmoja.
 

0 comments:

Post a Comment