Pages

Subscribe:

Sunday, October 29, 2017

T-SHIRT YA DIAMOND PLATNUMZ YAGOMBANIWA NCHINI CONGO


BLACK BOTTLE BOYS WILL NEVER STOP!!!🔥 #ABoyFromTandale #BBB #LuxeBoys #GoldSquad

Moja kati ya Video Clips zilizo sambaa sana kwenye mitandao ya kijamii ni hii ya tukio la wananchi wa Congo DRC ambao waliizunguka moja kati ya Hoteli nchini humo ambayo iligundulika kuwa Diamond alikuwa amefikia.

Baada ya kelele nyingi kutawala ilimbidi Diamond ajitokeze juu ya Ghorofa ya hoteli hiyo na kuweza kuwasalimu mashabiki baada ya salamu Diamond alitupa T-shirt aliyokuwa ameivaa na kusababisha mvutano kwa mashabiki. Tazama Video hapo chini...

0 comments:

Post a Comment