Pages

Subscribe:

Thursday, October 26, 2017

BAADA YA KUBANA KWA MUDA MREFU HATIMAYE BEYOUNCE ALEGEZA KWA CARDI B


Image result for cardi b and beyonce
Baada ya Hustle za kufa mtu, amefanikiwa kupata kolabo na moja ya watu wazito kwenye gemu ya muziki, na mtu mwenyewe ni Beyonce.

Tangu alivyoachia ngoma yake ya “BODAK YELLOW”, imekuwa kama ngazi katika kufika kilele cha mlima wa mfanikio ambapo imempelekea kupokelewa na tuzo kibao pamoja na...
heshima kubwa aliyoipata kwa kuvunja rekodi ya ngoma kufika namba moja chati za Billboard bila kolabo na mtu yoyote yule.

Sasa Producer wa Cardi B, Michael Ashby, aliamua kumwaga taarifa hiyo kupitia Instagram Story kuonesha nyimbo ambayo ni kolabo ya Cardi pamoja na Beyonce.


Kolabo hii inatajwa kuwa ni Moto flani hivi ambao umeshindikana kuzimwa.

Related image 

Image result for cardi b and beyonce

0 comments:

Post a Comment