Pages

Subscribe:

Monday, October 30, 2017

BARAKAH THE PRINCE: SIJAFULIA NA WALA SIJAUZA GARI YANGU


Msanii wa muziki Bongo, Baraka The Prince amejibu tetesi za kuyumba kimaisha, Tangu msanii huyo kuondoka katika label ya RockStar4000 kumekuwa na taarifa zinazodai msanii huyo kuyumba kiuchumi hadi kupelekea kuuza gari kitu ambacho amekikanusha.

“Sijawahi kufanya hivyo, kwanini niuze gari yangu sema hizi fununu, watu...
wanatengeneza mastori” amesema Barakah.

Barakah kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake ‘Sometime’ ikiwa ni ngoma ya pili kutoka chini ya label yake ‘Bana Music’ baada ya ile ya mwanzo ambayo ilikuwa ya Naj ‘Utanielewa’.

0 comments:

Post a Comment