Pages

Subscribe:

Sunday, October 29, 2017

AY: BIFU LA JAY DEE NA FA LILINIPA WAKATI MGUMU


Higher than Most #Ying&Yang
Msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva nchini AY amefunguka na kusema kuwa bifu kati ya msanii Mwana FA na Lady Jaydee yeye ilikuwa inamsumbua sana na kusema aliamini ipo siku wanaweza kumaliza tofauti zao.
AY amesema kuwa kwa kuwa yeye alikuwa ni rafiki wa wasanii hao wote hivyo ilikuwa inampa ugumu kuona... watu hao wanashindwa kupiga hata stori.

0 comments:

Post a Comment