Pages

Subscribe:

Tuesday, October 24, 2017

HIKI NDIYO KIKOSI CHA TAIFA STARS KITAKACHO VAANA NA BENIN


Leo Jumanne kocha wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Salum Mayanga ametangaza kikosi cha wachezaji 24 ambacho kitacheza na timu ya taifa ya Benin Novemba 11 ya mwaka huu.

Kikosi hicho kilichotangazwa na mwalimu Mayanga ni pamoja na magolikipa Aishi Manula, Peter Manyika na Ramadhan Kambwili. Mabeki ni Gadiel Michael, Boniphace Maganga, Abdi Banda...
, Kelvin Yondani, Dickson Job, Erasto Nyoni na Nurdin Chona.
22801993_480734882313035_9113399347701088256_n
Wakati huo huo viungo waliochaguliwa ni pamoja na Himid Mao, Hamis Abdallah, Mzamiru Yasin, Raphael Daud, Simon Msuva, Shiza Kichuya, Farid Mussa, Ibrahim Ajib, Mohammed Issa na Abdul Mohammed.

Aidha washambuliaji ni Mbaraka Yusuph, Yohana Mkomola, Mbwana Samatta na Elias Maguli.

0 comments:

Post a Comment