Pages

Subscribe:

Sunday, October 29, 2017

NDOA YA IRENE UWOYA WATU WAZUIWA KUINGIA NA SIMU UKUMBINI

Baada ya Irene Uwoya kufunga ndoa Jana japo bado mume aliyefunga Naye hajamuweka wazi rasmi japo kuna uvumi ni Dogo Janja. Kutokana na watu waliohudhuria sherehe Hiyo.

Jambo la kushangaza lililowaudhi waudhuriaji ni ile Hali ya kuzuia watu wasiingie na simu ukumbini na kukataza watu kupiga picha ukumbini na kulikuwa na...
mabaunsa Ambao walisimamia zoezi hili ipasavyo.

Pre wedding with family and friends...my Friday will be super than everrr.....🥂 kuna wakati tunanyang'anywa tuvihisivyo vizuri kwetu na kuletewa bora zaidi ili tujifunze na kuthamini maradufu,asante kwa hili MUNGU... #MrsYousofEnowPierre
 

🥂 @loydemich
 

🥂💋💋💋

0 comments:

Post a Comment