Pages

Subscribe:

Thursday, October 26, 2017

NE-YO ATARAJIA KUPATA MTOTO WA PILI KWA CRYSTAL SMITH



Msanii wa miondoko ya R&B duniani, Ne-Yo anatarajiwa kupata mtoto wa pili na mke wake Crystal Renay Smith. 

Awali msanii huyo alikuwa na watoto wawili aliyozaa na ex wake Monyetta Shaw. Ila baada ya kufunga ndoa mwaka 2015 na mpenzi wake Crystal Renay Smith walibahatika kupata mtoto mmoja wa...
kiume Shaffer Jr, na kuongeza idadi ya watoto wa tatu wa msanii huyo.

Taarifa za mkali huyo wa kuimba na kucheza kuongeza mtoto wa nne na wapili kwa mkewe zimetoka katika mtandao wa kijamii wa Instagram wa Ne-Yo ambapo aliweka picha akiashiria kutoa taarifa kwa mashabiki zake kuwa yeye ni baba kijacho.

👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽❤️❤️❤️❤️😁😁😁😁!!!!
@itscrystalsmith #PrettyPreggoLady
‘Guess who having another Baby?’ ndiyo maandishi yanayonekana katika picha aliyokweka msanii huyo.

Kabla ya picha hiyo Ne-yo alipost picha ya watoto wake watatu na mbele kuweka kiulizo na kuandika caption iliyosema:
Sooooooo.....
guess who's awaiting a NEW ARRIVAL!?!
👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽
@itscrystalsmith and yours truly are happy to announce we are expecting❤️!
#NewAddition #ExtendingTheFamily


Sooooooo.....
guess who's awaiting a NEW ARRIVAL!?!
👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽
@itscrystalsmith and yours truly are happy to announce we are expecting❤️!
#NewAddition #ExtendingTheFamily
👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽👶🏽

0 comments:

Post a Comment