Pages

Subscribe:

Sunday, October 29, 2017

VIDEO: TEGEMEA COLLABLE KUTOKA KWA DIAMOND NA MDOGO WA R. KELLY


@1omarion 💥💣🔫 #ABoyFromTandale

Ktk pita pita zangu leo nmekutana na post kadhaa za picha pamoja na video ikimuonesha Diamond Platnumz na Omarion wakiwa pamoja japo ktk ukurasa wa Diamond hajapost chochote wala hajazungumza chochote kuhusiana na swala hilo.

Imeonekana ktk ukurasa wa Zari mama wa toto wa Diamond picha ambayo zari amepiga akiwa na wawili hao na kuandika caption iliyo someka...
''About tonight with @1omarion cc @diamondplatnumz''. 
About tonight with @1omarion cc @diamondplatnumz
upande wa pili Rayvanny akipost video ya Diamond na Omarion wakishoot lakini aliiondoa sauti kama inavyoonesha hapa chini.

Bofya hapo chini kuitazama.

0 comments:

Post a Comment