Pages

Subscribe:

Friday, October 27, 2017

CHIN BEES APINGA SWALA LA T.I KUWA MWANZILISHI WA MUZIKI WA TRAP


Image result for chin bees
Unakumbuka ile stori ya ujazo kuhusu rapper T.I kufunguka kwamba yeye ndiyo mwanzilishi wa ngoma za miondoko ya Trap. 

Sasa Chin Beez ameamua kufunguka juu ya hilo na kudai kwamba, T.I sio mwanzilishi wa muziki wa Trap ila ngoma zake zimetengeneza hit kubwa sana mpaka kufikia hatua ya...
kuonekana kwamba yeye ndio mwanzilishi.

Mzee wa Kababaye Chin Beez amepiga stori na Choice in The Morning kufunguka kuhusu ishu ya T.I na Muziki wa Trap, kama unavyojua Chin Beez ni moja ya wasanii wa Bongo ambao wanapiga aina ya muziki kama huo,baadhi ya ngoma zake tukianza na ile Pepeta na Kababaye.

0 comments:

Post a Comment