Pages

Subscribe:

Thursday, October 19, 2017

JACQUELINE WOLPER: BWANA RAAAAAJ UMEJUA KUNYOOSHA


Ndo uanze kunikosesha amani mm ninae jitafutia!Nisiwe really na maisha yangu kesho nachambwa 😂😂Nikicheka mpk pengo likionekana basi mm ntazungushiwa kiduara ooo mara star ana pengo msyeeeu Star kajiumba?Sote tumeumbwa na ndo maana hakuna star aliewahi kupaa wkt wa kufa wote tunazikwa,Nisikosee kupaka wanja mshanizungusha sasa hivyo si vitu vya kawaida tu!lkn mitandao ikiweka uchochezi mtu mnamchukulia km kauwa vile mweh,Kuna vitu vya kuongea na vyenye maana na vinaeleweka lkn sio kwa kunizungushia duara vitu km pengo langu au chochote cha kijinga...Aisee tusiwe hivyo haya maisha ya mitandao hayapo km yalivyo ukiniona leo nimevaa nimependeza haimaanishi kuwa ndo nipo hivyo ukute nimevaa kwa ajili ya insta na kupiga picha,nikiweka gari haijalishi km mm ndo ninazo,mengine ya mikopo so mnavyoanza kunichamba gari la bei rahisi au nn mnakosea hapo ukute hata sijalipia bado hiyo mikopo chaa!mtu anajitafutia au anatengeneza jina ila wajinga tu wanakuja kuharibu kupitia mitandao..sisi watanzania ndo tunaongoza kwa uchochezi!Acheni hayo mambo imn!tunakosa baraka kupitia mambo ya kijinga kabisa,chuki chuki tu zisizokuwa na maana ndo zinaleta uadui kisa nn?Chambeni watu lkn kwenye vitu vya msingi..Tusikoseshane raha!wote sisi binadam mwisho wa siku.! Part2 Nanimemaliza jumapili njema..
Mapenzi yanapoisha na uhusiano kuvunjika huwa inaumiza na hiyo inapelekea wengine kuwekeana kinyongo, kutosalimiana au kutotaka kabisa hata kumsikia mwenzake.

Wolper aliwahi kusema kwenye Interview kwamba huwa hapendi kumkumbuka na kumpa nafasi Mwanaume alieachana nae haswa Mwanaume aliempenda kisawasawa ila inaonekana sasa...
hivi maumivu yameondoka na hana kinyongo na Harmonize.

Siku ya jana alitumia Instagram yake kuusifia huo wimbo kwa kuandikaHaka ka nyimbo kazurii sana na video pia ndio usiseme, bwana Raaaaaj umejua kunyoosha, kama bado hujaangalia video ya haka ka wimbo pita kwenye bio ya @Harmonize_tz #uliemchokozakaja #shulala #NaukinibipuTuNakupigia”

0 comments:

Post a Comment