Pages

Subscribe:

Tuesday, October 10, 2017

VIDEO ASLAY: NAMKUBALI SANA NANDY KWA SABABU KAONESHA VITU VIKUBWA


#Natamba Video Link Kwenye Bio Yangu Kujionea @richmitindo

Nandy ameendelea kuwa gumzo kwa wasanii mbalimbali wa bongo hasa pale wanapokuwa wakihojiwa na kuulizwa ni msanii gani wa kike wanaye mkubali na kila mmoja amekuwa akimtaja Nandy na kutaja sababu zake sasa huyu hapa Aslay aweka wazi mambo yanayo mfanya amkubali Nady Bofya na umsikilize hapa chini.

Watch Here

0 comments:

Post a Comment