skip to main |
skip to sidebar
DIAMOND KAULI YA DIAMOND BAADA YA KUPATA MTOTO WA KIUME
Ni good news nyingine kwa msanii wa Bongofleva Diamond Platnumz
ambaye jana December 6 2016 mpenzi wake Zarina Hassan alifanikiwa
kujifungua mtoto wake wa pili, Zari na Diamond wamepata...
mtoto wao wa
pili baada ya kupata mtoto wao wa kwanza Tiffah August 2015.
HONGERENI SANA ZARI NA DIAMOND!
0 comments:
Post a Comment