Pages

Subscribe:

Sunday, April 2, 2017

ROSA LEE AFUNGUKA HAYA BAADA YA KPEWA SHAVU NA JOH MAKINI


Baada ya Joh Makini kufunguka kuhusu Rosa Ree na kumtaja kama moja ya marapper watakaokuja kuwa tishio, Rosa Ree nae afunguka ya kwake.

Joh Makini alifunguka kwa kumtaja Rosa Ree kama moja ya marapper wakali Bongo kama akikaza kwenye game. Kupitia kurasa ya Instagram ya Rosa Ree, aliamua kufunguka kuhusu Coment hiyo ya Joh Makini kwa kusema kwamba...
I appreciate the love My Brother @johmakinitz …. Nafata ushauri nitazidi Kukazaaa!!!! God bless the hand behind it all @nahreel

0 comments:

Post a Comment